- 1,829 viewsDuration: 1:49Magenge ya wahalifu yametawala jiji kuu la Nairobi huku wakazi na wafanyibiashara wakiishi kw auwoga. Wakazi wanalalamikia kukithiri kwa magenge ya vijana waliojihami kwa visu na vifaa vingine kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Nairobi. Baadhi ya wanaolalamika wanasema kuwa vijana hao wanawavamia watu wanapoelekea nyumbani jioni, kwenye steni za magari, kwenye vichochoro mbalimbali vilivyoko katikati mwa jiji la Nairobi na hata mara nyingine peupe.