- 3,237 viewsDuration: 1:48Shughuli ya kufukua mwili wa mwanafunzi wa miaka ishirini faith kemunto, imefanyika huko nyamira huku polisi wakimzuilia mshukiwa mkuu wa mauaji hayo. Inaarifiwa kuwa gideon makori, ambaye alikuwa mpenziwe alimuua na kisha kuuzika mwili.