Hisia mseto kuhusiana na ahadi ya elimu ya kuanzia chekechea

  • | K24 Video
    40 views

    Na kumekuwa na hisia mseto kuhusiana na ahadi ya elimu ya bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu katika manifesto ya muungano wa Azimio- One Kenya. Ahadi hiyo itatimizwa endapo Azimio itaunda serikali ijayo baada ya kura za uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka huu.