Skip to main content
Skip to main content

Police bullets yaibuka 1-0 dhidi ya Kampala Queens

  • | Citizen TV
    378 views
    Duration: 40s
    Timu ya police bullets ya kenya imeanza vyema kwenye mashindano ya kufuzu kwa kombe la klabu bingwa barani baada ya kuipiku kampala queens kwa bao 1-0 katika uwanja wa nyayo alasiri ya leo. Bao la pekee lilitiwa kimyani na mchezaji wa akiba emily moranga katika kipindi cha pili.