5 Sep 2025 10:56 am | Citizen TV 266 views Duration: 1:40 Naibu rais Kithure Kindiki ameonyesha kujiamini kuwa bara la afrika litaweza kushinda umaskini na ukosefu wa usalama kwa kuwekeza katika biashara, miundombinu, na mageuzi ya kidijitali