Skip to main content
Skip to main content

Je binti wa Kim Jong Un ndiye mrithi wake mtarajiwa?

  • | BBC Swahili
    18,784 views
    Duration: 1:15
    Maswali ya Mrithi wa kiongozi wa Korea Kaskazini yaliibuliwa upya baada ya uwepo wa binti yake Kim Jong un katika gwaride kubwa zaidi la kijeshi kuwahi kufanyika nchini China. Shirika la ujasusi la Korea Kusini liliwahi kusema awali kwamba Kim Ju Ae ndiye "anayetarajiwa zaidi" kuwa mrithi wa Kim Jong Un. Mwandishi wa BBC @frankmavura na simulizi zaidi #bbcswahili #chima #koreakaskazini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw