- 704 viewsJopo la mahakama la serikali kuu mjini New York, Jumanne lilimpata na hatia rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, ya kumyanyasa kingono mwanake mmoja, na kutoa kauli za uongo kumhusu. Mahakama imemuamuru Trump amlipe mlalamishi, Jean Caroll, dola milioni tano, milioni mbili kwa kumnyanayasa kingono, na milioni tatu kwa sababu ya kutoa habari za uongo kumhusu. Trump amendelea kusisitiza kuwa hakumfahamu mlalamishi, na kwamba tuhuma hizo ni za uongo na zilizochochewa kisiasa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
WASHINGTON BUREAU-TRUMP AKUTWA NA HATIA YA UNYANYASAJI WA KINGONO KATIKA MAHAKAMA YA NEW YORK
- - LIVE| NEWS NOW ››
- 19 May 2024 - Jailed Iranian Nobel Peace Prize winner Narges Mohammadi says she is facing a new trial after she accused the s*************s of s****lly a*****ting women. In a message from Evin prison where she is being held, Ms Mohammadi said the trial relates to an…
- 19 May 2024 - The visit is primed with symbolic significance.
- 19 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Here is what you need to know to get up to sp*ed with today’s happenings. Ruto flies to US President Wi*liam […]
- 19 May 2024 - "I believe he won a few of the rounds, but I won the majority," a defiant Fury said in the ring.
- 19 May 2024 - He reminded political leaders to shun using blackmail as a way to survive in politics
- 19 May 2024 - Nothing delights of our politicians more than a good disaster photo op
- 19 May 2024 - Experts call on government to focus on growing the GDP.
- 19 May 2024 - Office of retired president crippled with budget freezes that Uhuru's staff attribute to politics of retribution.
- 19 May 2024 - Ruto calls for planting 15 billion trees by 2032 to rehabilitate forests, improve the climate, limit floods and landslides and give us shade.
- 19 May 2024 - Neither side is backing down now but a peace treaty between the two countries may not be as ‘impossible’ as it may now seem.