Bunge la kaunti ya Siaya lambandua William Oduol

  • | Citizen TV
    1,716 views

    Bunge la Kaunti ya Siaya hii leo limepitisha hoja ya kumtimua naibu Gavana wa kaunti hiyo William Oduol kwa madai ya utumizi mbaya wa mamlaka na ukiukaji wa katiba. Hoja hiyo iliungwa mkono wa wawakilishi wodi 38 kati ya 39 waliohudhuria kikao hicho.