Dalmas Otieno Anyango ni mwanasiasa mkongwe aliyezaliwa tarehe 19 mwezi Aprili mwaka-1945 kwenye kijiji cha Kangeso, eneo bunge la Rongo. Mlumbi huyu alipata umaarufu alipojiunga na bunge katika mwaka-1988 kuhudumu kama mbunge wa Rongo, wadhifa ambao aliudumisha kwa mihula kadhaa. Mwanahabari wetu Giverson Maina na kina cha taarifa hii.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive