Kenya imependekeza kuimarishwa jopo kazi la kuwarejesha makwao la Jumuiya ya Afrika na Caribbean -CARICOM kwa kuimarisha usaidizi na rasilimali. Rais William Ruto alitoa pendekezo hilo wakati wa mkutano wa pili wa kilele wa Afrika wa CARICOM mjini Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Afrika na Caribbean unalenga kuimarisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kidiplomasia kati ya Afrika na Caribbean kwa ajili ya ustawi na ushirikiano wa pamoja.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive