Skip to main content
Skip to main content

Dunia Wiki Hii I Israel yasema itaendeleza operesheni jijini Gaza I 30th August 2025

  • | KBC Video
    256 views
    Duration: 24:49
    Katika makala ya juma hili, Israel yasema itaendeleza operesheni jijini Gaza huku vifo vinavyotokana na baa la njaa vikiendelea kuongezeka. Wapalestina 20 wakiwemo wanahabari 5 waliuawa kwenye shambulizi la Israel dhidi ya hospitali moja huko Gaza. Rais wa Ivory Coast awasilisha hati zake za kuwania urais kwenye uchaguzi mwezi oktoba. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News