Skip to main content
Skip to main content

Dunia Wiki Hii I China iliandaa gwaride kubwa la kijeshi katikati mwa Beijing I 6th Sept 2025

  • | KBC Video
    77 views
    Duration: 22:53
    Katika makala ya juma hili China iliandaa gwaride kubwa la kijeshi katikati mwa Beijing kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wake kwenye vita vikuu vya pili vya dunia. Viongozi wa nchi wanachama wa shirika la ushirikiano wa Shanghai (SCO) zilitia saini na kutoa azimio la Tianjin. Wapalestina zaidi wauawa kwenye mashambulizi ya Israel kwenye ukanda wa Gaza. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News