Skip to main content
Skip to main content

Miili zaidi iliyopatikana Kenya huenda ikahusishwa na ibada ya njaa

  • | BBC Swahili
    2,393 views
    Duration: 1:32
    "‘Nina hofu kuhusu wanangu’: Ugunduzi wa miili zaidi ya 30 katika msitu ulioko pwani ya Kenya umeibua hofu ya kurejea kwa dhehebu lenye utata dhidi ya ibada ya siku ya mwisho. Mamlaka zinaamini kuwa waathiriwa "walifariki kwa njaa na kukosa hewa kutokana na imani za kidini. Miaka miwili iliyopita, zaidi ya miili 400 ilipatikana katika Msitu wa Shakahola ulioko karibu, ikihusishwa na dhehebu tata la kufunga kula lililoongozwa na mhubiri anayejiita Paul MacKenzie, ambaye amekana mashtaka hayo. Ripoti ya Anita Nkonge wa BBC inawasilishwa na @frankmavura #bbcswahili #kenya #shakahola Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw