Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Shenzhou-20

  • | KBC Video
    45 views
    Duration: 3:45
    Wanaanga wa Shenzhou-20 walioko katika Kituo cha Anga cha China wamepiga hatua thabiti katika majaribio mbalimbali ya sayansi ya anga katika siku za hivi majuzi. Timu hiyo ya wanaanga watatu imekamilisha nusu ya safari yao ya angani, wakifanya tafiti za tiba ya angani, ushirikiano kati ya binadamu na roboti, pamoja na majaribio ya teknolojia mpya kama usanisinuru bandia wa nje ya dunia. Maelezo ya kina katika Makala kuhusu Ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive