Skip to main content
Skip to main content

Jiji la Nairobi laorodheshwa la pili kwa uchafuzi wa hewa barani Afrika

  • | KBC Video
    55 views
    Duration: 1:44
    Wadau wa masuala ya mazingira, wanaharakati na baadhi ya wakazi wa jiji la Nairobi waliadhimisha siku ya kimataifa ya hewa safi jana kwa kuhimiza madereva kuzima injini za magari yao wanapoyaegesha au kuyasimamisha mahali penye watu wengi ikiwa ni sehemu ya juhudi ya kudhibiti uchafuzi wa hewa mijini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive