- 397 viewsSpika wa bunge la Tanzania DR. Tulia Ackson amesema bunge la nchini hiyo lina wajibu wa kupunguza matumizi ya serikali. Ameyasema hayo katika mahojiano maalumu na kipindi hichi cha Dunia leo mapema leo, ambapo pia mbali na kuwa spika wa bunge la Tanzania , Dr. Ackson ni mwenyekiti wa muunga wa mabunge ya Afrika –IPU na sasa anagombea kuwa rais wa muungano huo. Kwanza anaanza kwa kujibu kuhusu kubana matumizi ya serikali . #VOASwahili #spika #bunge #tanzania #matumizi #serikali #voa #dunianileo Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Spika wa Bunge la Tanzania Dr Tulia Ackson azungumzia wajibu wa Bunge kupunguza matumizi ya serikali
- » Blow to 4 suspects in murder of Kasipul MP Charles Were as court dismisses jurisdiction application9 May 2025 - The JKIA Law Courts has dismissed an application filed by four suspects seeking to challenge the court’s jurisdiction in a case connected to the murder of Kasipul Member of Parliament Charles Were.
- 9 May 2025 - Confusion abounded after conflicting reports regarding the operational status of the Music Copyright Society of Kenya (MCSK) CEO Ezekiel Mutua were released to the public.
- 9 May 2025 - Church bells echoed out as Catholics congregated in the Peruvian capital on Thursday to celebrate the election of American-born Pope Leo XIV, who left his mark after years of service in the Andean country.
- 9 May 2025 - Kenya and the United Arab Emirates (UAE) have signed seven agreements aimed at deepening bilateral cooperation between the two nations.
- 9 May 2025 - The KURA boss revealed plans to deploy traffic marshals at the site.
- 9 May 2025 - The nine family members who perished in a suspected arson attack in Ugunja, Siaya County will be laid to rest today (Friday).
- 9 May 2025 - The nine family members who perished in a suspected arson attack in Ugunja, Migori County will be laid to rest today (Friday).
- 9 May 2025 - Speaking during their reception at Jogoo House, Principal Assistant to the Inspector General of Police, Mathew Kutoh, urged the officers to apply the skills and knowledge gained from the mission to transform police stations and other service areas into…
- 9 May 2025 - “The reason we find ourselves in a situation where we have restless young people is the failure to plan a few years ago."
- 9 May 2025 - No formal deal was signed on Thursday and the announcements from both governments were light on details.