Serikali ya Kaunti ya Pokot yapania kuimarisha uchimbaji na usafirishaji wa mchanga wakati wa usiku

  • | Citizen TV
    243 views

    Serikali ya Kaunti ya Pokot Magharibi inalenga kuweka Sheria itakayoharamisha uchimbaji na usafirishaji wa mchanga wakati wa usiku. Aidha sheria hiyo inapendekeza kupigwa marufuku uzoaji wa mchanga karibu na daraja au vyanzo vya maji Kama njia moja ya kuhifadhi mazingira.