Kaunti ya Kwale yashirikiana na KPA kutoa ajira kwa vijana

  • | Citizen TV
    202 views

    Serikali ya kaunti ya kwale itashirikiana na halmashauri ya bandari inchini kuhakikisha vijana wa kaunti hiyo wanapata mafunzo yatakayowawezesha kupata ajira kwenye bandari mpya ya samaki ya shimoni.