Migori yakabiliwa na uhaba wa chakula

  • | Citizen TV
    246 views

    Uhaba wa chakula umesalia tatizo kubwa la kitaifa kutokana na Mabadiliko ya tabianchi huku Kaunti ya Migori ikiwa miongoni mwa kaunti ambazo zinakabiliwa na uhaba wa chakula.