Wanaharakati dhidi ya dhuluma za kijinsia wataka serikali kuongeza vituo vya kuripoti visa hivyo

  • | Citizen TV
    313 views

    Wanaharakati wa kukabiliana na dhulma za kijinsia wanaitaka serikali kuongeza vituo vya kuripoti visa hivyo. Kulingana nao, waathiriwa wengi huhangaika kupata haki huku wahalifu wakisalia huru.