Chama cha UDA kimewapa vyeti wagombeaji saba wanaowania nyadhifa za uchaguzi katika wadi na maeneo bunge mbali mbali kabla ya chaguzi ndogo zijazo. Wagombeaji wanaowania nyadhifa za mbunge wa Mbeere kazini, Magarini na Banisa hawatashiriki katika mchujo wa chama hicho mnamo Septemba 20, mwaka 2025. Abdiaziz Hashim atuarifu zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive