Hifadhi ya wanyama katika kaunti ya Pokot

  • | Citizen TV
    218 views

    Licha ya kaunti ya pokot magharibi kuwa na hifadhi ya wanyama ya Nasolot yenye ndovu wengi, utovu wa usalama umewanyima watalii nafasi ya kuwaona wanyama katika eneo hilo. Kama anavyoarifu collins shitiabayi wakazi wa eneo hilo wanaitaka serikali kuongeza usalama ili kuwapa nafasi ya kupanua uchumi kupitia utalii.