Mzozo wa steni katika kaunti ya Kisumu

  • | Citizen TV
    362 views

    Mpango Wa Kulainisha Sekta Ya Usafiri Wa Umma Katika Kaunti Ya Kisumu Umeibua Hisia Kali Kutoka Wadau. Wahudumu Wa Magari Ya Uchukuzi Wa Umma Wakidinda Kutii Amri Iliyotolewa Na Usimamizi Wa Jiji, Uliowataka Kuhamia Steni Kuu Ya Kisumu. Meneja Wa Jiji La Kisumu Akisistiza Kuwa Sharti Amri Hiyo Itekelezwe Ili Kunyoosha Sekta Ya Uchukuzi Mjini Humo.