Sekta ya elimu imetengewa mgao wa juu zaidi

  • | Citizen TV
    299 views

    Sekta ya elimu ni miongoni mwa zile zilizopokea mgao wa juu zaidi katika bajeti ya mwaka 2023/24 inayotarajiwa kuwasilishwa bungeni Alhamisi. Serikali ya kenya kwanza pia ikipendekeza kiasi kikubwa cha fedha kufadhili mpango wake wa kuboresha sekta ya afya na pia katika miradi ya maendeleo.