Maiti 19 zaidi wamefukuliwa katika msitu wa Shakahola

  • | Citizen TV
    623 views

    Maiti 19 zaidi wamefukuliwa hii leo katika msitu wa shakahola eneo la chakama, kaunti ya Kilifi. Ufukuzi wa leo umefikisha idadi ya waumini wa imani potovu waliouwawamsituni humo kufikia 303.