Skip to main content
Skip to main content

Kijitabu cha mwongozo chazinduliwa kusaidia kukomesha kuporomoka kwa majengo

  • | KBC Video
    26 views
    Duration: 1:21
    Kenya imechukua hatua kabambe kukabiliana na tishio la majengo yasiyo salama, kwa kuzindua Kitabu kipya cha Mwongozo wa Ukaguzi ambacho kinanuiwa kuimarisha usimamizi katika maeneo ya ujenzi kote nchini. Kitabu hicho kilichozinduliwa jijini Nairobi, kimetayarishwa na wahandisi, Halmashauri ya Kitaifa ya Ujenzi, na serikali za kaunti, na kinahimiza ukaguzi wa wazi wa usalama katika kila hatua ya ujenzi, kuanzia viunga vya umeme hadi uadilifu wa miundo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive