Kati ya wanafunzi wanaokamilisha masomo yao ya vyuo vikuu, ni wachache tu hufanikiwa ku pata ajira. Hata hivyo, idadi ya wanaokumbatia maarifa ili kutafuta riziki inaendelea kuongezeka kila uchao. Kwenye makala ya kazi ni kazi, Fredrick Muoki alitangamana na kijana aliyepokea maarifa ya kusanifu vyakula na vinywaji na sasa ni shughuli inayomsaidia kukimu mahitaji yake. Tazama
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive