- 13,376 viewsDuration: 1:31Ujenzi wa bwawa hilo kwenye mkondo wa mto Nile, ambao hutoa maji mengi ya mto huo mkubwa, ulikuwa na utata na nchi zilizo chini ya mto huo. Mvutano wa kidiplomasia na Misri uliongezeka na kulikuwa na mazungumzo ya migogoro. Ahmad Haji anaelezea zaidi. #bbcswahili #ethiopia #nishati Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw