- 6,170 viewsDuration: 2:46Shughuli ya kuwaajiri maafisa wa polisi 10,000, inayaotarajiwa kuanza wiki hii, inaendelea kuyumbayumba huku tume ya huduma kwa polisi nchini NPSC na huduma ya polisi nchini nps zikiendelea kulumbana kuhusu nani kati yao anafaa kutekeleza shughuli hiyo. Kikao cha leo katika bunge la kitaifa kilitibuka tena, NPS ikishikilia kwamba ndiyo inafaa kuendesha zoezi hilo.