Skip to main content
Skip to main content

Ruto Miaka Mitatu: Serikali yasonga na ujenzi wa nyumba nafuu

  • | Citizen TV
    903 views
    Duration: 2:52
    Serikali imesema kuwa iko mbioni kutimiza ahadi ya nyumba milioni moja kufikia mwaka wa 2027 kupitia mpango wa nyumba za bei nafuu. Mradi huo ulioanza mwaka jana unalenga ujenzi w anyumba laki mbili kila mwaka. Na kama anavyoarifu brenda wanga, taifa linahitaji nyumba laki mbili unusu kwa mwaka.