Wasiwasi kuhusu maneno ya chuku miongoni mwa viongozi wa kisiasa, ushirikishaji wa watu teule, mabishano ya kisiasa katika maeneo ya kuabudu na fursa kwa vijana kuchukua nyadhifa za uongozi, vilisheni mdahalo wa kitaifa huko Dagoreti, Nairobi. Kamuche Menza ana habari kwa kina.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive