Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Serikali inashirikiana na sekta ya binafsi kuboresha huduma za intaneti

  • | KBC Video
    62 views
    Duration: 2:37
    Serikali inafanya kazi kwa karibu na sekta ya binafsi ili kutoa huduma salama na za gharama nafuu za intaneti. Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo anesema serikali iko radhi kukumbatia matumizi ya huduma za mtandaoni ili kuboresha huduma kwa umma. Taarifa hii kwa kina ni kwenye Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive