Skip to main content
Skip to main content

Siku ya kimataifa ya usalama wa wagonjwa yaadhimishwa

  • | KBC Video
    83 views
    Duration: 2:58
    Usalama wa watoto wachanga, kina mama na watoto, uliangaziwa katika kongamano la maadhimisho ya siku ya kimataifa ya usalama wa wagonjwa lililoandaliwa leo katika hospitali ya chuo kikuu cha Aga Khan jijini Nairobi. Hafla hiyo chini ya kauli mbiu ‘utunzaji salama kuanzia mwanzo’ iliwaleta pamoja wataalam wa afya, maafisa wa serikali na washirika wa kimaendeleo kujadili masuala muhimu katika utunzi wa watoto. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu ana taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive