Wafugaji kutoka vijiji 15 kaunti ya Tana river wamekumbatia ukulima baada ya athari za tabianchi

  • | Citizen TV
    419 views

    Wafugaji kutoka vijiji 15 kaunti ya Tana river wamekumbatia ukulima baada ya athari za tabianchi. Mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri mapato yao hususan kutoka kwa mifugo. Hali hii imewalazimu kubadili utamaduni wa kuwa wafugaji na badala yake kujihusisha na ukulima. Msaada wa serikali ya kuwapa vyombo vya kuboresha ukulima umewapa wakaazi hao motisha ya kujitosa kikamilifu katika sekta hiyo ya ukulima.