Wakazi wa Turkana wachukuwa chanjo ya korona baada ya kuhofia chanjo ingewadhuru

  • | Citizen TV
    273 views

    Tangu kuzuka kwa virusi hatari vya corona ,asilimia kubwa ya wakazi wa Turkana walikaidi amri ya serikali ya kupokea chanjo wengi wakihofu kwamba huenda sindano hiyo ingewadhuru. Takwimu kutoka wizara ya afya Turkana ilibaini asilimia 22% ya wakaazi Turkana nzima walipewa chanjo ya corona,na hivyo basi juhudi za kuhakikisha wengi wanapata chanjo hiyo kupitia viongozi mbalimbali mashinani imeanzishwa maeneo ya Loima na Turkana ya kati .