Wakaazi wa eneo la Upper Matasia, Kajiado Kaskazini waandamana wakilalamikia kuharibika kwa barabara

  • | Citizen TV
    3,148 views

    Wakaazi wa eneo la upper matasia, kajiado kaskazini mapema leo walifanya maandamano wakilalamikia kuharibika kwa barabara ya kilomita nne inayotoka maasai road kuelekea silanga na ambayo wandai kwa zaidi ya miaka mitano wamekuwa wakiahidiwa kujengewa bila ya ahadi hizo kutimizwa