Timu ya Kenya ya kandanda ya ufukueni yafuzu kwa mashindano ya dunia

  • | Citizen TV
    670 views

    Timu ya Kenya ya kandanda ya ufukueni imefuzu kwa mashindano ya dunia baada ya wapinzani wao Cape Verde kujiondoa kwenye mashindano ya bara Afrika nchini Tunisia.