Familia zaidi ya 200 zapiga kambi shuleni Lamu

  • | Citizen TV
    190 views

    Familia zaidi ya 200 katika eneo lililoshambuliwa na magaidi wa alshabab katika kaunti ya Lamu zimelazimika kulala katika shule moja kwa kuhofia usalama. Wakaazi hao wanasema japo shule ya msingi ya juhudi sio salama, kuwa pamoja kumewawezesha kupata angalau lepe la usingizi