Wahudumu kwenye sekta ya uchukuzi walalamikia ongezeko la ajali za Barabara mjiji Ilbissil

  • | Citizen TV
    277 views

    Wahudumu kwenye sekta ya uchukuzi mjini ilbissil kaunti ya kajiado wanalalamikia kuongezeka kwa ajali zinazosababishwa na malori ya masafa marefu huku hatua dhidi ya wahusika ikikosa kuchukuliwa.