Kituo cha kidijitali cha umma chafunguliwa kwa wakaazi wa kijiji cha Busho, kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    159 views

    Kituo cha kidijitali cha umma kimefunguliwa kwa wakaazi wa kijiji cha busho katika wadi ya Macknon Road huko Kinango kaunti ya Kwale. Kituo hicho kinalenga kuwanufaisha wanakiji, vijana na wanafunzi kutumia mtandao bila malipo ili kuimarisha masomo na biashara zao na kupata elimu ya kijamii na ya afya.Gavana wa Kwale Fatuma Achani amesema wakulima na wafugaji wa sehemu hiyo sasa wana fursa ya kuuza mazao na bidhaa zao kwa urahisi kupitia mtandao.