Kijana amuua mamake eneo la Golini, Kwale

  • | Citizen TV
    2,569 views

    Biwi la Simanzi lilitanda leo katika eneo la Golini kaunti ya Kwale ambako kijana alimuua mamake kwa kumkata shingo na kisha akapigwa na umati hadi kufariki. Kijana huyo Musa Stephen pia alimjeruhi dadake kwenye tukio hilo, huku wote wawili wakizikwa hii leo.