Wachuuzi warejea shughuli katika soko la Londiani

  • | Citizen TV
    3,014 views

    Siku mbili baada ya ajali ya Londiani kuwaua watu 52 na shughuli za biashara kando kando ya barabara kusitishwa wafanyabiashara wamerejelea shughuli zao kama kawaida. Wafanyabiashara hawa wakikaidi agizo la kuwataka kuhamia sehemu nyingine kuzuia maafa mengine. Na kama Maryanne Nyambura anavyoarifu, familia za waathiriwa zimeendelea kuwatambua jamaa zao katika makafani ya hospitali ya Londiani huku waliojeruhiwa wakipata nafuu.