Jamaa auawa na umati baada ya kumuua mamake kaunti ya Kwale

  • | K24 Video
    67 views

    Na kaunti ya Kwale familia moja imejawa na huzuni kufuatia kifo cha mama na mtoto wake. Inadaiwa mwendazake mwenye umri wa miaka 36 alimuua mamake na kutokana na hilo lililojaza wanakijiji hamaki na pia kumshambulia hadi kufariki kwake inadaiwa mzozo wa ardhi ilikuwa kiini cha mzozano huo