Wanaharakati wa Kenya wazuiliwa Tanzania

  • | Citizen TV
    422 views

    Aliyekuwa jaji mkuu Willy Mutunga, afisa mkuu wa shirika la Vocal Africa Khalid Hussein na mwanaharakati Hanifa Adan wanatarajiwa kurejea humu nchini baadaye alasiri baada ya kuzuiliwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere mjini Dar es Salam, Tanzania.