Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua anadai Rais William Ruto aliagiza akabiliwe vilivyo

  • | Citizen TV
    5,383 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anadai kulikuwa na njama ya kumuua hapo jana baada ya kuhudhuria ibada katika eneo la Gatanga, kaunti ya Murang'a. Gachagua pia akidai kuwepo kwa amri ya kuwapokonya walinzi wake wa kibinafsi silaha kufuatia mzozo ulioshuhudiwa kwenye uzinduzi wa chama chake DCP .