Skip to main content
Skip to main content

Wanabodaboda watakiwa kudumisha nidhamu na kujiepusha na uhalifu

  • | KBC Video
    81 views
    Duration: 1:12
    Wahudumu wa boda boda katika Kaunti ya Machakos wanahimizwa kudumisha nidhamu na kujiepusha na mienendo ya kihalifu wanapotekeleza shughuli zao za kusafirisha abiria kutoka sehemu moja hadi nyingine. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive