China imetangaza orodha mpya ya kampuni 500 za kibinafsi kubwa zaidi, ambapo kampuni ya biashara mtandaoni JD.com imechukua nafasi ya kwanza. Kama anavyosimulia Tom Wanjala, hii ni ishara ya ukuaji thabiti wa sekta ya binafsi katika uchumi wa China. Kwa taslifu kamili tazama Makala ya ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive