10 Sep 2025 1:11 pm | Citizen TV 335 views Duration: 39s Rais William Ruto leo amepokea mabalozi wa mataifa kadhaa katika ikulu ya rais. Rais amewapokea mabalozi kutoka Algeria, Hungary, Norway