Wanawake watengeneza bidhaa za shanga kujipa riziki Kajiado

  • | K24 Video
    20 views

    Makali ya ukame yamezidi kuwanyima wakenya wengi usingizi hivyo kuwalazimu wakaazi katika nyingi ya kaunti zilizoathirika zaidi kutafuta mbinu tofauti za kukabiliana nayo. Moja kati ya makundi yaliobuni mbinu za kuishi ni kikundi cha kina mama kwa jina Nasaru kutoka kaunti ya Kajiado wanawake hawa ambao maziwa yalitumika kama kitega uchumi sasa wamegeukia ushonaji ushanga na kuuza kwa kuwa haziathiriki na mabadiliko ya hata hivyo haijawa rahisi safari hii kutokana na ukosefu wa soko na hata sheria kali walizowekewa na waume zao