10 Sep 2025 1:19 pm | Citizen TV 317 views Duration: 1:31 Madaktari wa kaunti ya tharaka nithi wameonya wakaazi dhidi ya kuelekeza wagonjwa kutoka hospitali za umma hadi hospitali za kibinfasi kwa kisingizio kuwa hospitali za umma zinatoa huduma duni.